FAHAMU BAADHI MADHARA NA ATHARIZA KUJICHUA ( PUNYETO )

FAHAMU BAADHI MADHARA NA ATHARI ZA KUJICHUA ( PUNYETO ) PUNYETO, ni tabia ambayo mwanamke au mwanaume anajichua sehemu za siri ili kuf...

FAHAMU BAADHI MADHARA NA ATHARI
ZA KUJICHUA ( PUNYETO )
PUNYETO, ni tabia ambayo mwanamke au
mwanaume anajichua sehemu za siri ili
kufika kileleni, mara nyingi kitendo hiki
hufanyika na muhusika akiwa peke yake
chumbani au bafuni.
Wahanga wengi wa tabia hii ni wanaume
kwani huanza katika umri mdogo sana
kwasababu ya uoga wa kufuata wasichana
na kuangalia video za ngono ambazo
huwasukuma kufanya vitendo hivi..
Lakini punyeto huambatana na madhara
makubwa ya kijamii na kiafya.
BAADHI YA MADHARA NA ATHARI ZA
KUJICHUA ( PUNYETO )
# ; Punyeto humfanya mtu awe
mlegevu bila kua na nguvu kabisa mda
wote kwani nguvu nyingi sana hutumika
kwenye tendo hilo la kujichua.
# ; Ni moja ya chanzo kikuu cha
kupoteza nguvu za kiume kwasababu ya
kuharibu mishipa iliyomo ktk mfumo wa
uume wakati mhusika
anapojichua kwa kutumia nguvu.
# ; Punyeto hupunguza idadi ya mbegu
za kiume ( low sperm count ) hivyo ni
mbaya zaidi na hatari kwa wapenzi
wanaokusudia kupata familia.
# ; Husababisha mtu kusahau sana na
kushindwa kufanya vitu kwa makini.
# ; Husababisha mtu awe mchovu mda
mwingi zaidi
na kusinzia hovyo kila anapomaliza
kujichua.
# ; Husababisha mwanaume kutoa
mbegu haraka kipindi cha tendo la ndo na
kushindwa kumfikisha mwanamke
kileleni ( pre mature ejaculation )
# ; Husababisha msongo wa
mawazo kwani kila ukimaliza tendo hilo
unajuta sana na kuapa kwamba hutarudia
kujichua kabisa.
# ; Hukuletea utumwa wa kifikra kwani
ukishaanza huwezi kuacha kirahisi
# ; Kujichua ( Punyeto ) husababisha
mwanaume au
mwanamke kukosa hamu kabisa na
mwenza wake hivyo kuleta usumbufu na
kutoelewana
kwenye ndoa au kwa wapenzi.
# ; Kujichua ( Punyeto ) ni chanzo kikubwa
sana cha ngono
za jinsia moja shuleni , magerezani, vyuoni
nk. ambazo
huambukiza magonjwa ya zinaa pamoja na
ukimwi nk.
FAHAMU BAADHI YA NJIA ZA KUFANYA
KUACHA KUJICHUA ( PUNYETO );-
Punyeto kama nilivyokueleza hapo juu ni
tatizo la tabia na linaweza kudhibitika
kama matatizo mengine yeyote;-
ACTION;-
# ; Wacha kabisa kuangalia video
zinazohusiana na ngono,
video hizi ndio chanzo kikubwa sana cha
kujichua.
kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi
kwenye ubongo na kila picha unayoiona
utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha
kuziangalia tu ndio ahueni yako.
Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto
wakati wa kuoga: bafuni ndio sehemu
ambayo inatumika sana na watu wengi
kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na
mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga
haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi
ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa
kupiga punyeto.
# ; Epuka kukaa nyumbani peke yako;
mara
nyingi kukaa peke yako kunakufanya
ushawishike kufanya tendo hilo, hebu
ondoka na ujichanganye na watu wengine
au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea
mambo mengine.
• Fikiria kuhusu madhara yake: kila
aliyewahi kupiga punyeto kuna madhara
mabayo ameshayapata hasa madogo
madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa
kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo
wa kuendelea kutopiga punyeto.
# ; wacha kusema eti hii punyeto ni ya
mwisho: siku zote wapiga punyeto wana
akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga
halafu sirudii tena. Hicho kitu hakipo,
kwani
kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha
acha mara moja na chukua au fanya
maamuzi maguzi magumu alaah kwani
umefunga ndoa na viganja vya mikono
yako??!!
# ; Tafuta mpenzi kama huna kabisa:
ukiwa
na mpenzi madhara ya punyeto kama
kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya
uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika
siku moja pale uume utakaposhindwa
kusimama kabisa mkiwa chumbani
na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la
ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto. pia
unaweza kumshirkisha mwenzi wako
tatizo lako ili akusaidie kuacha.
# ; Anza mazoezi na jishughulishe na
mambo mengine:hii itakufanya ue bize na
mambo mengine na utumie mda wako
mwingi huko, pia mazoezi ya jioni
yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria
kupiga punyeto wakati wa kwenda
kujipumzisha kitandani..........!!
Hii mada itaendelea sehemu ya pili wiki
ijayo, usikose.
# KUHUSU TIBA #
Tunatibu kwa kutumia tiba mbadala ( tiba
za miti shamba )
Dawa inaitwa " MKOMBOZI-2" ina nguvu
na uwezo mkubwa sana wa kutibu na
kuondoa madhara na athari zote
zilizotokana na kujichua ( punyeto )
Dawa hii ni mchanganyiko wa mizizi ya
miti dawa ( 7 ) ipo katika mfumo wa unga
unga na mizizi.
Dawa hizi hazijachanganywa wala
kuongezewa chochote.
Pia hazina kemikali za viwandani hata
chembe.
# BAADHI YA KAZI INAYOFANYWA NA
DAWA YA MKOMBOZI-2 ;-
* Hitibu na kurekebisha hitilafu zote ndani
ya mishipa ya uume hivyo hupelekea
uume usimame bara bara wakati wa
tendo la ndoa.
* Huurudisha nje uume uliosinyaa au
kurudi ndani na kuwa mfupi sababu ya
punyeto.
* Huondoa hali ya kuwahi kufika kileleni
haraka zaidi.
* Huongeza wingi wa mbegu za kiume
* Hukufanya uwe na uwezo wa kurudia
tendo la ndoa zaidi ya mara moja bila
kuchoka
* Hukupa hamu ya tendo la ndoa ( Ashki
au nyege) uwapo na mwenzi wako
* Huzuia mbegu kutoka bila matarajio,
uwapo chooni wakati ukijisaidia haja
kubwa au ndogo.
* Hutibu korodani iliyovimba au kuzama
ndani. nk
Dawa ya mkombozi-2, dozi kamili ni siku
( 21 )
Utaanza kupata matokeo na mabadiliko
mazuri baada ya siku ( 7 ) tokea uanze
dozi.
BEI YA DOZI KAMILI YA DAWA;
TSH; 50,000/-
Wateja waliopo nje ya jiji la Tanga,
watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi kwa
gharama zao.
Wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa
dawa kwa njia ya boti / meli, ya kampuni
ya Azam marine, kwa gharama zao.
SIMU; 0745-998149 / 0677-619227, call
only.
Dr.Abdallah J Mbwambo.
Tupo; Chumbageni-Tanga mjini.
Tembelea kila mara kurasa wetu kupata
mada moto moto kuhusu Afya yako, pia
kufaham vyanzo, dalili, kinga na tiba.
SHARE & LIKE.

COMMENTS

WASILIANA NASI KWA NAMBA ZA SIMU
NO;- 0745-998149 & 0677-619227
Tupo, chumbageni- Tanga mjini.

KARIBU

Name

asari,1,Bawasili,2,Cancer,1,CONSTIPATION,1,embe mbichi,1,kukojoa kitandani,1,maji ukeni,1,MALARIA SUGU,1,mdarasini,1,mimba,1,mlonge,2,Mpera,1,ndoa,1,Nguvu za kiume,6,Pumu,1,punyeto,1,Taalifa,3,tangawizi,1,tezi dume,1,Unene/Kitambi,1,UTI,1,
ltr
item
FARAJAHERBALIST: FAHAMU BAADHI MADHARA NA ATHARIZA KUJICHUA ( PUNYETO )
FAHAMU BAADHI MADHARA NA ATHARIZA KUJICHUA ( PUNYETO )
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiX925pmvMeH7nmZiV_vi6ricZ0-K1MsJoFCmkOvVXLBS6UjT6JvrHBsPcSA7GVdLoUg7qo5NYTGEMUeg1TRjKe8lFmyjB5nRYbJ2GKz84oi4WqgMkhe6iBQ0VxnBe8ZsjGbs3037fyBKQ/s640/28871872_181547599126754_3638795697509620263_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiX925pmvMeH7nmZiV_vi6ricZ0-K1MsJoFCmkOvVXLBS6UjT6JvrHBsPcSA7GVdLoUg7qo5NYTGEMUeg1TRjKe8lFmyjB5nRYbJ2GKz84oi4WqgMkhe6iBQ0VxnBe8ZsjGbs3037fyBKQ/s72-c/28871872_181547599126754_3638795697509620263_n.jpg
FARAJAHERBALIST
https://farajaherbalist.blogspot.com/2018/09/fahamu-baadhi-madhara-na-athari-za.html
https://farajaherbalist.blogspot.com/
https://farajaherbalist.blogspot.com/
https://farajaherbalist.blogspot.com/2018/09/fahamu-baadhi-madhara-na-athari-za.html
true
3780119184853778323
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy