FAHAMU UGONJWA WA U.T.I, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA U.T.I SUGU

FAHAMU UGONJWA WA U.T.I, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA U.T.I SUGU U.T.I(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mko...

FAHAMU UGONJWA WA U.T.I,
DALILI NA JINSI YA KUEPUKA U.T.I SUGU
U.T.I(Urinary tract infection) ni ugonjwa
wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na
maambukizi haya yanasababishwa na
viumbe kama bakteria,fangasi na virus.
Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye
mfumo wa mkojo hutolewa na
mwili,Wakati mwingine bakteria
wanaweza zidi kinga ya mwili na
kusababisha maambukizi hayo.
UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha
mkojo na figo
MFUMO WA MKOJO
Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili
unaotumika kuondoa uchafu na maJi ya
ziada
Mfumo huu unaundwa na ureta,kibofu
cha mokojo,figo na urethra sitachambaua
kwa undani hizi sehemu
KISABABISHI CHA UTI
Mara nyingi UTI zinasababishwa na
bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli)
na UTI nyingine zinaweza sababishwa na
Chlamydia na Mycoplasma na UTI hizi zina
athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa
wanapaswa kupata tiba pamoja,
Maambukizi ya UTI ni makubwa sana
dunian Zaidi ya watu milioni 8 pointi 1
wanaathiriwa na ugonjwa huu
KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA
WAKUBWA?
Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa
ugonjwa huu kulingana na maumbile yao
ya nje
1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye
kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana
hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka
kwenye kibofu
2.Pia mrija huo unafungukia sehemu
ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria
ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru
Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata
tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na
kwa wanawake
WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA
UTI
# Watu wenye vidonda kwenye uti wa
mgongo
# Mtu yeyote mwenye tatizo katika
mfumo wa mkojo
# Tendo la ndoa linaweza likahamisha
bakteria kutoka kwenye uke kwenda
kwenye urethra
# Baadhi ya njia za uzazi kama kutumia
diaphragm,spermicides,kondomu nk
KURUDIARUDIA KWA UTI(UTI SUGU)
Mara nyingi wanawake wakipata UTI
inaweza ikawa inajirudia mara kwa mara
kulingana na sababu zifuatazo
1.Uwezo wa bakteria kujishika kwenye
njia ya mkojo hivyo kutotibika na kurudia
tena
2.Sababu nyingine ni wanawake kuwa non
sector yani kuwa na damu grupu A,B na
AB ambao hawawez kuzalisha kinga nzur
kwa ajili ya hao bakteria
DALILI ZA UTI
1.Kukojoa mara kwa mara na maumivu
wakati wa kukojoa
2.Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye
kibofu au mrija wa mkojo
3.Maumivu ya misuli na tumbo
4.Mkojo kuwa na harufu mbaya na pia
kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya
mawingu nk
5.Kwa mtu aliyeathiriwa figo anaweza
kuwa na maumivu mgongoni au kwenye
mbavu pia kichefuchefu na kutapika
6.Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo
unatoka kidogo
JINSI YA KUZUIA UTI SUGU
1.Kunywa maji mengi kunsaidia kusafisha
bakteria kwenye mfumo
2.Mtu anatakiwa akojoe mara kwa mara
kila anapojiskia kukojoa
Mkojo ukikaa sana kwenye kibofu
unaweza zalisha bakteria
Na baada ya kukojoa wanawake
wanatakiwa kujisafisha kuanzia mbele
kurudi nyuma ili kulinda urethra
3.Vaa nguo za ndani za pamba na ambazo
hazibani sana kuruhusu hewa kupita vizuri
,epuka jinsi zinazobana sana ambazo
zinaweza kukusanya na kuleta tatizo.
4.Tumia ped zilizotengenezwa kwa pamba
na ped pekee zenye uwezo wa kuzuia na
kutibu UTI na pia zinaruhusu hewa kupita
vizuri
MATIBABU YA U.T.I SUGU NA KINGA YA
U.T.I INAPATIKANA
TIBA IPO YA WANAUME NA YA
WANAWAKE.
Tunatibu kwa dawa za miti shamba.
Dozi kamili ni siku saba ( 7 )
Bei ya dawa dozi kamili ni sh; 25,000/-
Dawa ipo katika mfumo wa mizizi & unga
unga.
Mawasiliano; 0677-619227 /
0745-998149, call / sms.
Abdallah J Mbwambo.
Tupo; chumbageni Tanga mjini.
Tembelea kurasa wetu kila mara kupata
mada moto moto za kiafya.
SHARE & LIKE

COMMENTS

WASILIANA NASI KWA NAMBA ZA SIMU
NO;- 0745-998149 & 0677-619227
Tupo, chumbageni- Tanga mjini.

KARIBU

Name

asari,1,Bawasili,2,Cancer,1,CONSTIPATION,1,embe mbichi,1,kukojoa kitandani,1,maji ukeni,1,MALARIA SUGU,1,mdarasini,1,mimba,1,mlonge,2,Mpera,1,ndoa,1,Nguvu za kiume,6,Pumu,1,punyeto,1,Taalifa,3,tangawizi,1,tezi dume,1,Unene/Kitambi,1,UTI,1,
ltr
item
FARAJAHERBALIST: FAHAMU UGONJWA WA U.T.I, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA U.T.I SUGU
FAHAMU UGONJWA WA U.T.I, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA U.T.I SUGU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjA2cWIvlC-NfS_AK26T020ZD-oThFOgHurYuY-JFBP9NUO1d9Z2dugoSINI_aPFzgygxktVfs3jLgAX6lr-Eb4L253rX9Tux16Kx99iBZy-E1QOByF4J3Yq-hgML8L0Q-BxACi2paxI1c/s640/29343074_183733328908181_5372733283313965556_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjA2cWIvlC-NfS_AK26T020ZD-oThFOgHurYuY-JFBP9NUO1d9Z2dugoSINI_aPFzgygxktVfs3jLgAX6lr-Eb4L253rX9Tux16Kx99iBZy-E1QOByF4J3Yq-hgML8L0Q-BxACi2paxI1c/s72-c/29343074_183733328908181_5372733283313965556_n.jpg
FARAJAHERBALIST
https://farajaherbalist.blogspot.com/2018/09/fahamu-ugonjwa-wa-uti-dalili-na-jinsi.html
https://farajaherbalist.blogspot.com/
https://farajaherbalist.blogspot.com/
https://farajaherbalist.blogspot.com/2018/09/fahamu-ugonjwa-wa-uti-dalili-na-jinsi.html
true
3780119184853778323
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy