DAWA YA WANAO KOJOA KITANDANI KIKOJOZI ## BUREE ## TIBA YAKE;- (a) Saga Haulinjan kisha ichuje halafu ichanganye na asali uj...
DAWA YA WANAO KOJOA KITANDANI
KIKOJOZI
## BUREE ##
TIBA YAKE;-
(a) Saga Haulinjan kisha ichuje halafu
ichanganye na asali ujazo robo lita kisha
mpe kikojozi iwe mdogo iwe mkubwa
mpe atumie kijiko kidogo cha chai
asubuhi kabla ya kula chochote na saa ya
kulala muda wiki moja.
(b) Isage Nanaa kama juice (yaani kwa
Blander) ujazo wa chupa ya oranji kisha
uichuje kisha mpe kikojozi anywe atumie
nusu kikombe cha kahawa 1x3 wiki 1--2.
Inshaallah tatizo litaondoka Biidhnillah na
kitanda kitaanza kuwa saaaffi.
# Pia tunayo dawa ya miti shamba, iliyo tayari ya kutibu na kuondoa kabisa hili tatizo pia utapewa na dawa ya kinga ya kufanya asirudie tena kukojoa kitandani baada ya kupona hii tunatoa bure bila malipo.
# Pia tunatibu kwa kutumia tiba nbadala
( Tiba za miti shamba asilia)
kwa baadhi ya
matatizo mbalimbali ya kiafya
yanayowasumbua wanajamii kwa kipindi
kirefu bila kupatiwa ufumbuzi wa kuondoa
tatizo husika.
Tupigie: 0745-998149 / 0677-619227, call & sms.
dr Abdallah J Mbwambo.
Tupo:- Chumbageni- Tanga.
# Tembelea huu kurasa wetu kufahamu
zaidi huduma zetu;
COMMENTS