FAHAMU UGONJWA HATARI WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU. ~watu wengi wanasumbuliwa n...
FAHAMU UGONJWA HATARI WA
BAWASIRI AU
KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA
KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA
UGONJWA HUU.
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili
ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu
wa kuelezea na kushindwa hata kwenda
hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI
NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika
kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya
sehemu ya haja kubwa na wakati
mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/
kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya
haja kubwa na kasababisha kutoka
kinyama au uvimbe
~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya
kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali
kwa lugha ya kingereza unafahamika kama
piles
~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi
huwaathiri watu wazima kuliko watoto na
inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu
wote wako katika hatari ya kupata tatizo
hili katika umri wa miaka 30_50
AINA ZA BAWASIRI
~Kuna Aina mbili za bawasiri
(A) BAWASIRI YA NDANI
~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya
mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani
na maumivu na wengi huwa hawajitambui
kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na
kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani
ya mfereji wa haja kubwa
~Aina hii imegawanyika katika madaraja
manne
(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri
ambayo haitoki mahal pale panapohusika
(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa
haja na kurudi yenyew ndani baada ya
kujisaidia
(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati
wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha
ndani yeye mwenywe
(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri
inayotoka na huwa ngumu kurudi
(B)BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo
la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa
na huambatana na maumivu makali na
kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu
Hilo pia husababisha mishipa ya damu
(vena) kupasuka na damu kuganda na
kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo
THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu
hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo
huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa
bawasiri ambayo ni ÷
KUFANYA MAPENZI KINYUME NA
MAUMBILE
KUHARISHA KWA MUDA MREFU
TATIZO LA KUTOPATA CHOO
MATATIZO YA UMRI
KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
UZITO KUPITA KIASI
MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA
MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la
haja kubwa
kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia
kutokea uvimbe katika eneo la tundu
la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama katika eneo la
tundu Hilo
kinyesi kuwa na damu na kunuka
harufu mbaya sana
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO
LA BAWASIRI
~matibabu ya bawasiri hutegemea na
Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni
kukatwa kinyama na kuendelea na lishe
ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri
kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo
hivyo huwa rahisi kujirudia
~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa
unaoweza kuepukika kwa kuzingatia
KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI,
MATUNDA, NA NAFAKA ZSZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU
GRASS 6/12 Kwa siku
EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA
MREFU
MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
kupata upungufu wa damu (anemia)
Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil
choo
hupunguza nguvu za kiume na
kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa
wanawake
kuathirika kisaikolojia
kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana
na maumivu makali.
KWA TIBA NA KINGA YA BAWASIRI;-
Tunayo dawa ya miti shamba, inaitwa "
FARAJA "
Hii dawa ina nguvu na uwezo mkubwa
sana wa kutibu na kuondoa kabisa tatizo
la ugonjwa wa BAWASIRI,
Dawa ya faraja inatibu na kuondoa hili
tatizo ndani ya siku ( 3 )
Dozi kamili ya dawa ya faraja ni siku ( 7 )
tu
Dawa inatibu na kukinga hilo tatizo
kutojirudia tena. pia inakinga kutopata hili
tatizo kwa wale ambao hawajapatwa na
hili tatizo.
Mfumo wa dawa ni unga unga na mizizi.
# GHARAMA YA DAWA #
Dozi kamili ya dawa ni tsh; 80,000/-
Wateja waliopo nje ya mkoa wa Tanga,
watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi, kwa
gharama zao.
Wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa
dawa kwa njia ya boti / meli ya Kampuni
ya Azam marine.
Mawasiliano; 0677-619227 /
0745-998149, call/ sms.
Dr.Abdallah Juma Mbwambo.
# MAHALI TULIPO;-
Chumbageni-----Tanga mjini.
Tembelea kila mara kurasa wetu, kupata
mada mbalimbali zihusuyo afya yako,
vyanzo, dalili, kinga na tiba sahihi na za
uhakika za dawa za miti shamba asilia.
share & like
COMMENTS