FAHAMU BAADHI YA FAIDA ZA EMBEMBICHI KATIKA MIILI YETU;

FAHAMU BAADHI YA FAIDA ZA EMBE MBICHI KATIKA MIILI YETU; 1- Fights Acidity (Ukiwa na Acid nyingi na zakuletea hurt burn tafuna embe mb...

FAHAMU BAADHI YA FAIDA ZA EMBE MBICHI KATIKA MIILI YETU; 1- Fights Acidity (Ukiwa na Acid nyingi na zakuletea hurt burn tafuna embe mbichi utapata utulivu haraka) 2- Prevents Water loss in the body ( Inasaidia mwili kuhifadhi maji ndani ya mwili. Wale walio eneo la joto hili litawasaidia sana. Changanya na punje la chumvi kuondoa kiu) 3- Cures Stomach problems (Inatibu matatizo mengi za tumbo kama kutoweza kusaga chakula vizuri, gesi, kuharisha, na kutopata choo. Pia inasafisha utumbo) 4- Treats blood disorders ( Ina Vitamin C ambayo inasaidia mirija za damu kuwa laini..hili linasaidia uzalishaji ya white blood cells. White blood cell zikiongezeka kwa damu then mwili unakuwa na kinga nzuri dhidi ya maradhi kama TB na Cholera. 5- Boosts Hormonal Health (Pia ina vitamin A na E ambazo ni muhimu sana kwa hormones za bianadamu. Pia ina chemicali inaitwa (pectin) na Vitamin B complex 6- Helps diabetics ( Ukiwa na ugonjwa wa kisukari changanya embe mbichi na maziwa ya mtindi au uji wa mchele itakusaidia kupunguza sukari kwa mwili) 7- Prevents constipation (Ukiwa na shida kupata choo kubwa changanya embe mbichi na asali na chumvi kula ..rudi uniambie jawabu mwenyewe.) 8- Boost immunity (Ukiwa unataka afya bora ipe mwili uwezo wa kujikinga na maradhi au bacteria vamizi...embe mbichi ndio silaha yako. Inasaidia mwili kuweza kujikinga na magonjwa na maradhi mbali mbali.) 9- Decreases sweating. (Ikiwa mwili inatoa jasho mingi kunywa juice ya embe mbichi itasaidia mwili kupunguza kutoa jasho na kuhifadhi madini ya sodium chloride na iron ambayo mwili upoteza kwa kutokwa na jasho mingi.) 10- Enhances Vision (Inasaidia macho kuona vizuri. Iko na madini ya alpha- carotene, beta-carotene na bata- cryptoxanthin ambazo zote ni muhimu kwa afya ya macho kuweza kuona vizuri) 11- Helps fight morning sickness for pregnant women- mix with little salt and chew 12- Aids liver health 13- Promotes dental hygiene 14- Helps in weight reduction 15 - Prevents scurvy and bleeding gums, nk Pia tunatibu kwa tiba mbadala ( tiba za miti shamba) na haya ni baadhi tu; # BAWASIRI ( kutokwa kinyama sehemu ya haja kubwa) # Madhara na athari za kujichua ( PUNYETO ) na jinsi ya kuwacha we mwenyewe. # Ukosefu / ama upungufu wa nguvu za kiume # Matatizo mbalimbali ya wanawake na watoto. # Uume kusinyaa na kuwa mfupi # Korodani kuvimba au kuzama ndani. # Kuwahi kufika kileleni haraka zaidi # Ngiri, UTI, Maralia sugu, Magonjwa ya zinaa. # Kutosikia hamu ya tendo la ndoa, wamama na wababa. # Kisukaro, vidonda vya tumbo, nk Tunatibu kiuhakika kwa kutumia Tunatibu kiuhakika kwa kutumia dawa za miti shamba isiyochanganywa wala kuongezewa chochote, pia hazina kemikali za viwandani. Simu; 0677-619227, call / sms. 0745-998149 call & sms dr.Abdallah J Mbwambo.

COMMENTS

WASILIANA NASI KWA NAMBA ZA SIMU
NO;- 0745-998149 & 0677-619227
Tupo, chumbageni- Tanga mjini.

KARIBU

Name

asari,1,Bawasili,2,Cancer,1,CONSTIPATION,1,embe mbichi,1,kukojoa kitandani,1,maji ukeni,1,MALARIA SUGU,1,mdarasini,1,mimba,1,mlonge,2,Mpera,1,ndoa,1,Nguvu za kiume,6,Pumu,1,punyeto,1,Taalifa,3,tangawizi,1,tezi dume,1,Unene/Kitambi,1,UTI,1,
ltr
item
FARAJAHERBALIST: FAHAMU BAADHI YA FAIDA ZA EMBEMBICHI KATIKA MIILI YETU;
FAHAMU BAADHI YA FAIDA ZA EMBEMBICHI KATIKA MIILI YETU;
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcPkCjTOKPCRM1KMHKe14ZJvGSoMQzfcQGTTLVCKqgSjyEzgD869mmDowQDvTfPGy9OBiZ6BsQ78CgQnihp9yobzDnSt9dBta1wQ93NQfwGShGeDQUihJB71javHC9CUtAoSNNNX-uhko/s640/35475260_211394099475437_7163854211044605952_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcPkCjTOKPCRM1KMHKe14ZJvGSoMQzfcQGTTLVCKqgSjyEzgD869mmDowQDvTfPGy9OBiZ6BsQ78CgQnihp9yobzDnSt9dBta1wQ93NQfwGShGeDQUihJB71javHC9CUtAoSNNNX-uhko/s72-c/35475260_211394099475437_7163854211044605952_n.jpg
FARAJAHERBALIST
https://farajaherbalist.blogspot.com/2018/09/fahamu-baadhi-ya-faida-za-embe-mbichi.html
https://farajaherbalist.blogspot.com/
https://farajaherbalist.blogspot.com/
https://farajaherbalist.blogspot.com/2018/09/fahamu-baadhi-ya-faida-za-embe-mbichi.html
true
3780119184853778323
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy