Habari? siku ya leo tunakwenda kuangazia macho kwenye Bawasili na tiba zake ni zipi, twende pamoja tukaondoe hili tatizo. ...
Habari?
siku ya leo tunakwenda kuangazia macho kwenye Bawasili na tiba zake ni zipi, twende pamoja tukaondoe hili tatizo.
Je Bawasili ni ugonjwa gan?
Ni ugonjwa unaotokana kwa kuathirika kwa mishipa ya damu kwa ndani na nje sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka na baadae husababisha kutokwa ni kinyama sehemu ya haja kubwa. Ugonjwa huu kwa Lugha ya kitaalamu unaitwa HEMORRHOIDS . Tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto wadogo. Kati ya umri wa miaka 30- 50 wapo kwenye hatari ya kupata ugonjwa huu, Kuna aina mbili za bawasili. Bawasili ya ndani na Nje
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷

.KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE .KUHARISHA KWA MUDA MREFU TATIZO LA KUTOPATA CHOO .MATATIZO YA UMRI .KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU .UZITO KUPITA KIASI .MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFUJe utajuaje kama una Bawasili? Zifuatazo ni dalili zaitakazo kujulisha kwamba unasumbuliwa na Bawasili Ngozi kuwasha katika tundu la haja kubwa Kupata maumivu wakati wa kujisaidia Kutokea kwa uvimbe katika eneo la haja kubwa Je hizo dalili zipo kwako? kama zipo kuna dawa ya miti shamba inaitwa faraja ni mkombozi wako, Dozi kamili ya dawa hii ni siku 14 ( kumi na nne tu!). Hivyo unaweza ipata dawa hii kwa kuwasiliana nasi
COMMENTS