ASALI NAMDALASINI TIBA YAKILA KITU Asali na Mdalasini Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjw...
ASALI NAMDALASINI TIBA YAKILA KITU
Asali na Mdalasini
Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho
kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani vimeandika namna watu walivyotibiwa magonjwa mbalimbali kutokana na asali. Sasa hivi kuna makala nyingi zilizo andikwa zikielezea kuhusu uwezo wa asali katika tiba ya magonjwa mbalimbali.Warusi na Wafaransa wanafahamika sana katika kufanya utafiti katika maabara kuhusu uwezo wa asali katika tiba mbalimbali.
Katika makala hii tutaangalia tiba ya asali na mdalasini na namna ya kuitumia kutibu maradhi mbalimbali (asali tunayoizungumzia hapa ni asali safi yaani asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo).
YAFUATAYO NI BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIKA KWA ASALI NA MDALASINI:
1. Ugonjwa wa viungo, maumivu na uvimbe
-Chukua maji kiasi vuguvugu na ongeza mdalasini, unga kijiko cha chai na asali vijiko 2 vya chakula na kuchua sehemu zenye maumivu.
-Vilevile waweza kutengeneza kikombe kimoja cha chai kwa kuweka kijiko kimoja cha unga wa mdalasini na kuongeza asali vijiko viwili vya chakula na kisha kunywa ikiwa ya moto kutwa mara mbili.
2. Kukatika kwa nywele
-Asali ikichanganywa na mdalasini na mafuta vuguvugu ya mzeituni hutia kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele.
-Tumia mchanganyiko huo vuguvugu kwa kupaka na kusugua kichwani na acha kwa dakika 15 kisha uoshe.
3. Ukungu wa miguu au fungus
-Changanya kijiko cha chakula cha asali na vijiko viwili vya chai vya mdalasini na acha kwa muda wa nusu saa kisha safisha (rudia hivyo mpaka upone).
4. Maambukizi kwenye kibofu cha mkojo
-Changanya maji ya uvuguvugu na vijiko 2 vya chai vya mdalasini na kijiko1 cha asali huondoa bakteria kwenye kibofu.
5. Maumivu ya jino
-Changanya sehemu tano za asali na sehemu moja ya mdalasini na dondoshea kwenye jino linalouma hadi maumivu yatakapotoweka.
6. Vidonda vitokanavyo na magonjwa ya kulala kwa muda mrefu
-Paka saladi iliyochanganywa asali na mdalasini......! Inaendelea tembelea huu kurasa zetu, pia utafahamu mengi zaidi kuhusu afya yako.
COMMENTS