PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO SUGU KWA WANAUME -Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa zifuatazo. ~Ina umbo km yai(oval shape) ~I...
PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO
SUGU KWA WANAUME
-Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa
zifuatazo.
~Ina umbo km yai(oval shape)
~Ina ukubwa wenye vipimo hivi, upana
4cm na unene 3cm ingawaje hivi vipimo
vinatofautiana kwa kila mwanaume.
~Tezi hii ipo inazunguka shingo ya kibofu
cha mkojo na kuzunguka mrija unaopeleka
mkojo nje(urethra)
~Tezi hii hua yenye ukubwa wa kawaida
lakini huongezeka ukubwa kadri ya umri.
~Tezi hii hutengeneza majimaji yenye
rutuba ya mbegu za kiume(shahawa)
SEHEMU KUU ZA TEZI YA KIUME
1.PERIPHERAL ZONE(SEHEMU YA NJE)
~Hii ni sehemu ya nje ya tezi ambayo
madakari wengi hutumia hii tezi kubaina
kama kuna tatizo kwenye tezi kwani ni
virahisi kiugusa km daktari akiingiza
ikiingiza index fingure(kidole cha
kusontea) kwenye njia ya haja kubwa.
Kukua kwa sehemu hii hakuwezi kuathiri
utokaji wa mkojo.
2. TRANSITIONAL ZONE(SEHEMU YA KATI)
~ Hii ni sehemu ya tezi ambayo ikikua
yani ikiongezeka ukubwa tunasema
KUVIMBA KWA TEZI DUME kitalamu
BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH)
kuna uwezekano mkubwa wa tezi dume
iliyovimba kuzuia njia ya mkojo kupita.
Kwani ndio sehemu ya tezi iliyo karibu
kabisa na njia ya mkojo. Mara nyingi hii
sehemu ikikua ndio inayo sababisha
matatizo ya kukojoa(obstructive
symptoms). Tezi hii pia daktari anaweza
kuibaini kwa kutumia kidole kipomo hiki
huitwa DIGITAL RECTAL EXAMINATION
(DRE)
hii ni kwa sababu ikikua inasukuma ile
sehemu ya pembezoni yani peripheral
zone kuelekea njia ya haja kubwa. Hivyo
dakatri anaweza kubaini km tezi imekua
au laa.
3. CENTRAL ZONE(SEHEMU YA KATI)
~Hii sehemu iko mbele ya transitional
zone hivyo uvimbe katika sehemu hii ni
vigumu kubaini kipitia kipimo hiki cha
haraka cha kutumia kidole hivyo
tunatumia vipomo vya picha kinaitwa
CYTOSCOPY. Hiki ni kipimo cha picha
kinacho angalia kipofu cha mkojo na njia
ya mkojo na kutoa majibu katika mfumo
ya picha au video.
KUKUA KWA TEZI YA KIUME
~Kukua kwa tezi ya kiume kitalamu
tunaita BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA
(BPH). Hili tatizo mara nyingi huanza
baada ya miaka 40 hivi na dalili huja
kujionesha uzeeni. Hivyo tezi inaweza
ikawa kubwa sana lakini haina dalili hii ni
kutokana na sehemu gani ya tezi
iliyovimba au kuongezeka. Tezi
inapoonesha dalili jua tatizo hilo ni sugu
na liko ktk hali mbaya.
DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI
1. Kukojoa mara kwa mara
2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu
3. Kukujoa sana usiku
4. Maumivu wakati wa kukojoa
5.Kupungukiwa nguvu za kiume
6. UTI ya mara kwa mara
7. Mawe kwenye kibofu kutokana na
mrundikano wa mkojo.
8. Figo kujaa maji. Hii sababu mkojo huo
unarudi nyuma kuelekea figo(hydronephr
osis)
9. Kupoteza fahamu(uremia)
HIZI DALILI NIMEZITAJA KULINGANA NA
TATIZO LINAVYOKUWA SUGU KWA
MGONJWA HIVYO UGONJWA HUU NI
HATARI USIPO WAHI.
JINSI YA KUBAINI KUVIMBA KWA TEZI
~Kumbuka BPH sio kansa ni uvimbe tu wa
kawaida wa tezi lkn kumbuka tezi hii
inaweza kuvimba pia kutokana na kansa
ya tezi dume (prostate cancer)
1. Uchunguzi wa kawaida kwa kutumia
kidole kupitia njia ya haja kubwa kuangalia
kama tezi ina tatizo. Kipimo hiki huitwa
DIGITAL RECTAL EXAMINATION. Baada ya
kipimo hicho daktari huandika alicho
kigusa kama ni ugonjwa au iko kawaida.
2. Hiki ni kipimo cha kupiga picha kibofu
cha mkojo kinaitwa CYTOSCOPE.
Kumbuka kipimo hiki una ingiziwa waya
flani wenye tochi mbele kwenye njia ya
mkojo huku huo waya umeunga nishwa
kwenye screen. Hivyo chochote huo waya
utakacho murika kitaonekana kwenye
screen. Ubaya wa hiki kipimo ni kwamba
kinaweza kuumiza kuta za njia ya mkojo
na baada ya wiki km mbili njia inaweza
kuziba mbili jeraha linapo pona. Ila ni
kipimo kizuri sana.
3. Kipimo kingine kinaitwa RECTAL
UTRASOUND hiki ni kipimo cha kupiga
picha kupitia njia ya haja kubwa (rectal) na
kutoa picha kwenye jarida gumu
kumsaidia daktari kusoma.
4. Kipimo cha kutofautisha kati ya uvimbe
wa kawaida(BPH) na kansa ya kipofu
(PROSTATE CANCER) Kipimo hiki kinaitwa
PROSTATIC SPECIFIC ANTIGEN. Hii ni
protein inatolea kwa wingi endapo kuna
kansa ya tezi dume. Hivyo damu ya
mgonjwa itachukuliwa na kupekwa
maabala kuchunguza km ni nyingi kupita
kiasi kwenye damu. Kama hii protein ipo
kawaida basi uvimbe huo sio kansa ni
BPH. Lakini km kiwango ni kingi uvimbe
huo ni KANSA. Hivyo uchunguzi zaidi
unahitajika kama kuchukua sample ya
kinyama kutoka katika tezi na kupeleka
maabala.
MATIBABU YA KUKUA KWA TEZI DUME
1. Tezi dume kama haina dalili zozote
mara nyingi waga haishighulikiwi sana
hospitali lakini dawa za kupunguza kasi
anaweza pewa mgonjwa. Lakink ni mara
chache.
2. Kama tezi imesha anza kuleta dalili
kama usumbufu wakati wa kukojoa siku
hizi kuna operation ya bila kukata inaitwa
TRANSURETHRAL RECTIONING
TRANSURETHRAL RECTIONING OF
PROSTATE AU CHANNEL TURP.
Hii operation inafanywa kama akiwa
anafanya kipimo cha CYSTOSCOPE. Lakini
hapa anaweka wire mbele kiko
chamviringo kinapitishwa njia ya mkojo
kina enda kukata kinyama kinachoziba i
mean tezi iliyovimba. Hapa inazibua njia
ya mkojo ili mtu akojoe. Ukifanyiwa
operation hii vizuri tezi hujirudia baada ya
miaka kama 3-5 tangu siku ya operation.
MADHARA YA TIBA HII
1. Kukosa uwezo wa kufikia kishindo yani
hutoi shahawa(RETROGRADE
EJACULATION) wazee wengi hulalamika
sana baada ya hii operation hivyo ushauri
nasaha lazima utolewe ili mgonjwa ajue
nini madhara yake kabla ya operation.
2. Kuziba kwa njia ya mkojo kutoka na
kuumia kwa njia hizo wakati wa kitendo
hicho. Panapokua panapona hilo kovu
linaziba njia ya mkojo.
3. Operation kubwa ya kuondoa tezi hio
hufanyika kwa kufungua kibofu cha mkojo
na kutoa hio tezi. Madhara ni mengi sana
kuhusu hii bora ile no mbili.
KWA ATAKAYE HITAJI KINGA/ TIBA YA
TEZI DUME:-
Tunayo dawa inaitwa " IDHUNYA " hii
dawa ina nguvu na uwezo mkubwa sana
wa kutibu na kuondoa kabisa hilo tatizo.
Dawa hii inatokana na mizizi ya miti dawa
takribani miti ( 7 )
Dawa ya Idhunya ipo katika mifumo ( 2 )
1; Mizizi
2; Unga unga.
Dozi kamili ni siku ( 21 ) Utaanza kupata
matokeo baada ya siku ( 7 )
tangu uanze kutumia dawa.
Gharama ya dawa dozi kamili ni;
Tsh; 90,000/-
Pia tunayo dawa inaitwa " IDHUNYA MIX "
Hii ni kwa ajili ya kinga kwa wale ambao
hawajapatwa na huu ugonjwa pia na wale
wenye dalili chache sana.
Bei ya hii dawa ni ;
Tsh; 60,000/-
Dawa zetu zote ni za miti shamba,
isiyochanganywa wala kuongezewa
chochote. Pia hazina kemikali za
viwandani hata chembe.
MAWASILIANO:
NO; 0677-619227 / 0745-998149, call /
sms.
Dr.Abdallah J Mbwambo.
MAHALI TULIPO;-
Chumbageni---Tanga mjini.
Tembelea kila mara kurasa wetu kupata
mada mbali mbali kuhusu Afya yako, pia
kufahamu, vyanzo, dalili, kinga na tiba
sahihi za uhakika
Jana saa 09:41 mchana/ jioni ·
Halima Msangi
Sayari ya Tiba asili
Sayari ya Tiba asili
COMMENTS