Dr Abdallah J Mbwambo Chumbageni Tanga mjini. Haya ni maradhi ambayo mgonjwa huwa hapati choo kwa wepesi. Haja kubwa inaweza k...
Dr Abdallah J Mbwambo
Chumbageni Tanga mjini.
Haya ni maradhi ambayo mgonjwa huwa hapati choo kwa wepesi. Haja kubwa inaweza kutoka baada ya siku moja au mbili au zaidi na ikitoka huwa ni kigumu na hutoka kwa shida na wakati mwingine huwa kama cha mbuzi. Wagonjwa wengine hupata maumivu wakati wa kwenda haja kubwa. Mtu mwenye afya nzuri hupata haja kubwa kwa kiwango cha chini mara moja kwa siku. Na choo huwa laini na hutoka bila matatizo. SABABU ZA MARADHI HUSIKA: (1) Upungufu wa vitamini mwilini hasa vitamin B . (2) Maradhi ndani ya utumbo mpana. (3) Kula vitu vigumu na vikavu kama vile vyakula vya ngano. (4) Upungufu wa ulaji matunda na mboga. (5) Kutokunywa maji ya kutosha. (6) Upungufu wa fibre kwenye chakula zinazopatikana kwenye maganda ya mahindi. (7) Ukosefu wa kufanya mazoezi ya viungo.nk. # TIBA YAKE # Tunayo dawa linaitwa " SWELA ", ina nguvu na uwezo mkubwa wa kutibu na kuondoa hill tatizo kabisa, 3 tu, Dozi kamili ni siku 6 tu. Dawa ni ya miti shamba asili , haijaongezwa wala kuchanganywa na chochote. Pia haina kemikali ya viwandani hata chembe. Dawa ipo katika mfumo wa unga unga na mizizi. Matumizi: utachanganyia mezani kwenye uji, chain, Maji ya moto, kipimo kijiko kidogo cha chai × 2 kutwa. Gharama ya dawa, dozi kamili ni sh.40,000/- Wateja wa mikoani watatumiwa kwenye mabasi. Wateja wa Zanzibar watatumiwa kwa njia ya boti ya Azam Marine. Pia tunatibu kwa kutumia tiba mbadala ( dawa za miti shamba, matatatizo mbali mbali ya kiafya yanayo wasumbua wanajamii kwa kipindi kirefu bila kupata dawa au tiba sahihi kwa wanaume, wanawake na watoto. Tembelea huu kurasa wetu ili kufahamu yote kwa undani zaidi Vikiwemo, dalili, vyanzo, kinga, na tiba.

COMMENTS