FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI

FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI 1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata sa...

FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI
1. Huondoa sumu mwilini haraka sana
2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi
3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi
4. Huondoa uvimbe mwilini
5. Huondoa msongamano mapafuni
6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake
7. Huondoa maumivu ya koo
8. Huua virusi wa homa
9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini
10. Huondoa homa hata homa ya baridi (chills)
11. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli za kansa ya tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya.
12. Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol”
13. Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu (constipation-r
elated cancer)
14. Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia)
15. Ni dawa nzuri dhidi ya kansa ya mapafu (lung cancer)
16. Huzuia kujizalisha kwa bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’, bakteria huyu ndiye husababisha vidonda vya tumbo mwilini, pia hutibu kiungulia, na kanza mbalimbali za tumbo
17. Ni msaada sana katika kuzuia na kutibu kansa ya titi
18. Hutibu kanza za kwenye kizazi na kanza za kwenye mirija ya uzazi
19. Huongeza msukumo wa damu
20. Husaidia kuzuia shambulio la moyo
21. Huzuia damu kuganda
22. Hushusha kolesto
23. Husafisha damu
24. Husaidia watu wenye kukakamaa kwa mishipa
25. Hutibu shinikizo la juu la damu
26. Husafisha utumbo mpana
27. Hupunguza mishtuko kwenye utumbo mpana na tumbo kuunguruma
28. Huondoa GESI TUMBONI KIRAHISI ZAIDI
29. Husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
30. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu
31. Husaidia kuzuia kutapika. Husaidia hata wale wanaosafiri baharini wasipatwe na kichefuchefu
32. Husaidia kuondoa maumivu kutokana na mkao mmoja wa mrefu ama kusimama au kukaa
33. Husaidia uzalishwaji wa juisi vimeng’enya kwa ajili ya kumeng’enya chakula
34. Husaidia kuzuia kuharisha
35. Husaidia mfumo wa upumuaji na kutuliza dalili za pumu
36. Hutibu tatizo la miguu kuwaka moto
37. Hutibu homa ya kichwa
38. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
39. Hutibu homa za asubuhi hata kwa mama mjamzito
40. Husaidia kupunguza homa ya baridi yabisi (helps reduce inflammation of arthritis)
41. Huimarisha afya ya figo
42. Husaidia kupunguza uchovu unaotokana na matibabu yaliyopita ya mionzi
43. Ina madini ya potassium ya kutosha
44. Ina madini ya manganese ambayo ni mhimu katika kuuongeza mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita
45. Ina kitu kinaitwa ‘silicon’ ambacho chenyewe kazi yake hasa ni kuongeza afya ya ngozi, nywele, meno na kucha
46. Husaidia umeng’enywaji wa madini ya calcium
47. Pia ina vitamini A, C, E, B-complex, chuma, zinki , magnesium, phosphorus, sodium, calcium, na beta-carotene
48. Hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita
BLEND KAMA UNAVYO TENGENEZA JUICE YA KAWAIDA KISHA KUNYWA GLASS MOJA KWA SIKU.
AU UNAWEZA KUJENGA MAZOEA YA KUTAFUNA VIPANDE KADHAA KILA SIKU ASUBUHI KABLA HUJALA KITU
Tafadhari share kwa ajili ya wengine
Pia tunatibu kwa kutumia Tiba mbadala za dawa za miti shamba, baadhi ya matatizo;
# Ugonjwa WA Bawasili ( kutokwa kinyama sehemu ya haka kubwa ) tatizo linapona ndani ya siku 3 tu.
# Ukosefu au upungufu WA nguvu za kiume ( Tatizo linakwisha ndani ya siku 30, matokeo utaanza kuyapata baada ya siku 7, dawa inatibu na kuondoa tatizo kabisa sio ya kusisimua uume kwa muda mfupi.
# Wahanga WA kujichua ( punyeto ) na madhara na athari zake na jinsi ya kuwacha peke yako ni bureeee.
# Matatizo mbali mbali ya wamama.
# Uume ulioingia ndani na kuwa mfupi.
# Kutokwa na mbegu za kiume bila matarajio uwapo chooni kwenye haka ndogo au kubwa au pengine popote bila kuwa NA mwenzi wako.
# Korodani kuvimba au kuzama ndani.
# Kuwahi kufika kileleni mapema na mengineyo mengi tu.
Simu; 0677-619227 / 0745-998149, call only.
Dr.Abdallah Juma Mbwambo.
### Mahali tulipo###
Chumbageni. Tanga MJINI.
Tembelea kurasa wetu Kufaham zaidi.

COMMENTS

WASILIANA NASI KWA NAMBA ZA SIMU
NO;- 0745-998149 & 0677-619227
Tupo, chumbageni- Tanga mjini.

KARIBU

Name

asari,1,Bawasili,2,Cancer,1,CONSTIPATION,1,embe mbichi,1,kukojoa kitandani,1,maji ukeni,1,MALARIA SUGU,1,mdarasini,1,mimba,1,mlonge,2,Mpera,1,ndoa,1,Nguvu za kiume,6,Pumu,1,punyeto,1,Taalifa,3,tangawizi,1,tezi dume,1,Unene/Kitambi,1,UTI,1,
ltr
item
FARAJAHERBALIST: FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI
FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-BFAv_MRe9SfZ0aGozcaweE0Gh4xhsAGy5N_gcs744hwzvczKqpPlKsfJWZHdXBV__B4KjLRvGmoUbyE5cebzrE9SmYi546KN8bsaZfbFeAfKDPB0u8YY0dNJg7lngkH12q6sJ7x5kUU/s640/29178359_182257069055807_1063275009847085169_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-BFAv_MRe9SfZ0aGozcaweE0Gh4xhsAGy5N_gcs744hwzvczKqpPlKsfJWZHdXBV__B4KjLRvGmoUbyE5cebzrE9SmYi546KN8bsaZfbFeAfKDPB0u8YY0dNJg7lngkH12q6sJ7x5kUU/s72-c/29178359_182257069055807_1063275009847085169_n.jpg
FARAJAHERBALIST
https://farajaherbalist.blogspot.com/2018/09/faida-48-za-juisi-ya-tangawizi-ambazo.html
https://farajaherbalist.blogspot.com/
https://farajaherbalist.blogspot.com/
https://farajaherbalist.blogspot.com/2018/09/faida-48-za-juisi-ya-tangawizi-ambazo.html
true
3780119184853778323
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy